WordPress: Kutengeneza Tovuti Bila Kuandika Codes

Ni somo lenye kufundisha namna ya kutengeneza Tovuti za watu binafsi na biashara kwa kutumia wordpress, Mfumo ambao hauto kuhitaji ujifunze kuandika Codes au hauto hitaji ujuzi wa programming.

Beginner 0(0 Ratings) 0 Students Enrolled
Created By Wilhelm Oddo Last Updated Mon, 23-Dec-2019 Swahili
What Will I Learn?
 • Namna ya kutengeneza tovuti za aina zote na kuziuza kwa wateja
 • Kutengeneza Kurasa na Maandiko na Zaidi kuweza tofautisha kati ya Kurasa ya tovuti na andiko katika tovuti.
 • Namna ya kutengeneza Viunganishi, aina za maandiko na Tags na namna vinaenda isaidia tovuti katika SEO.
 • Namna ya kuzitafuta na kuzi install themes na plugins wakati wa utengenezaji wa tovuti na namna zinavyo enda kutumika.
 • Namna ya kujilinda na kuilinda Tovuti yako iwapo mtandaoni

Curriculum For This Course
16 Lessons 00:42:24 Hours
Mwanzo Wa Somo
2 Lessons 00:05:18 Hours
 • Utangulizi wa Somo 00:02:39
 • Tathmini Kabla Ya Mafunzo 00:02:39
 • Kusimika wordpress katika Computer (Offline) 00:02:39
 • Kusimika wordpress kwenye Mtandao (Online) 00:02:39
 • Namna ya kupanga na kupangua Mfumo mzima 00:02:39
 • Namna ya Kuweka "MENU" Katika wordpress 00:02:39
 • Namna ya kuweka Kurasa Mpya 00:02:39
 • Namna ya kutengeneza Chapisho 00:02:39
 • Kupakua Mandhari Ya Bure 00:02:39
 • Mandhari ya Kununua na namna ya Kupakua 00:02:39
 • Namna ya kuhariri Mandhari 00:02:39
 • Uchaguzi na Usajiri wa Jina la Tovuti 00:02:39
 • Uhifadhi / U-Wenyeji wa tovuti mtandaoni "Web Hosting" 00:02:39
 • Nini maana ya Usalama wa Tovuti? 00:02:39
 • Udukuzi wa Tovuti na namna ya kujikinga "Hacking" 00:02:39
 • Tathmini Baada Ya Mafunzo 00:02:39
Requirements
 • Compyuta yenye Operating system inayo fanya kazi (Windows, Mac au Linux)
 • Iwe na Browser ya kisasa (Chrome, Firefox)
 • Mtandao wenye kasi nzuri (kwa ajiri ya baadhi ya Moduli)
 • Hauitaji kuwa na uzoefu wowote wa lugha yoyote ya Compyuta.
+ View More
Description
+ View More
Other Related Courses
00:42:18 Hours
Updated Sat, 21-Dec-2019
0 3 tshs150000 tshs25000
00:21:12 Hours
0 2 tshs15000
00:13:15 Hours
0 0 tshs15000 tshs8000
00:42:24 Hours
0 0 tshs15000 tshs10000
About The Instructor
 • 0 Reviews
 • 4 Students
 • 8 Courses
+ View More

Wilhelm Caspar Oddo is a serial Entrepreneur with a passion for education, Children, and Youth. In love with Environment, Health & Humanity. His big dream is to build an innovative and creative generation of young people who are solving community challenges.

Wilhelm has been recognized on local and international platforms as a champion of change supporting Sustainable Development Goals. Some of these platforms include the Top 100 Most Positively Inspiring African Youth (2018), One Young World Ambassador (2015), YALI East Africa Fellow (2016), Mandela Washington Fellow (2018), Tech Entrepreneurship trainer and mentor. 

It was in college (at Kampala International University) where he first discovered his passion for teaching and helping others by sharing all he knew. And that passion brought him the idea of starting Niwezeshe.Com, where most of his students love the fact that he takes the time to explain important concepts in a way that everyone can easily understand.

"Enroll in one of my courses and join the list of my awesome students today and start learning.

Student Feedback
0
Average Rating
 • 0%
 • 0%
 • 0%
 • 0%
 • 0%
Reviews
tshs15000
Buy Now
Includes:
 • 00:42:24 Hours On Demand Videos
 • 16 Lessons
 • Full Lifetime Access
 • Access On Mobile And Tv