Ujasiriamali

Somo la Ujasiriamali ni somo lenye kufundisha dhana ya Ujasiriamali yenye uthubutu au ujaribu wa ufanyaji wa shughuli yoyote na kupitia shughuli hiyo mhusika au wahusika wanakwenda kupata kipato.

Beginner 0(0 Ratings) 10 Students Enrolled
Created By Wilhelm Oddo Last Updated Wed, 20-May-2020 Bengali
What Will I Learn?
 • Darasa litakupa uelewa wa ndani juu ya dhana ya Ujasiriamali na namna ya kuwa mjasiriamali uliye fanikiwa.
 • Utajifunza kuanzisha biashara au mradi kuanzia mwanzo. Kama una Mradi au Biashara basi utajifunza namna ya kuiendeleza biashara hiyo.
 • Utajifunza namna ya kutafuta mtaji hasa pale unapo taka anzisha Mradi au Biashara na hauna akiba yoyote kama mtaji.

Curriculum For This Course
30 Lessons 01:00:20 Hours
Mwanzo wa Somo
2 Lessons 00:00:30 Hours
 • Tathmini kabla ya Mafunzo
 • Utangulizi wa Somo 00:00:30
 • Maana Ya Ujasiriamali 00:01:56
 • Tabia Za Mjasiriamali 00:03:50
 • Faida Za Ujasiriamali 00:05:46
 • Changamoto Za Ujasiriamali 00:03:50
 • Aina Za Ujasiriamali 00:00:21
 • Zoezi La Kujipima 00:00:00
 • TOPIC 1 (POWER POINT SLIDES)
 • Namna ya Kutengeneza wazo la Mradi / Biashara 00:02:33
 • Kuchambua / Kuchagua Wazo Zuri la Mradi / Biashara 00:02:39
 • Kufanya Utafiti Juu ya uhalisia wa Wazo la Mradi / Biashara 00:02:39
 • Nyenzo Muhimu KATIKA Kutambua, Kuelewa na Kutengeneza Wazo 00:00:30
 • Nyenzo Ya 1: Problem Tree Statement 00:05:46
 • Nyenzo Ya 2: The Design Process 00:00:30
 • Nyenzo Ya 3: Business Model Canvas 00:00:21
 • Zoezi La Kujipima 00:00:00
 • TOPIC 2 (POWER POINT SLIDES)
 • Kutambua Tatizo na Kuelewa Uhitaji (“Design Thinking”) 00:02:39
 • Namna ya Kuandaa Andiko la Mradi (Proposal) 00:02:39
 • Kuandaa Mpango / Mchanganuo wa Biashara 00:02:39
 • Vyanzo Vya Mtaji 00:02:39
 • Namna ya Kutafuta Wahisani / Wawekezaji 00:02:39
 • Utafutaji wa Masoko Na Matumizi ya TEHAMA katika Masoko 00:02:39
 • Huduma Kwa Wateja 00:02:39
 • Kuweka Kumbukumbu, Kukokotoa Faida na Kusimamia Fedha 00:02:39
 • Namna ya Kusajili Kampuni 00:02:39
 • Namna Ya Kusajili Kikundi 00:02:39
 • Namna ya Kusajili Taasisi 00:02:39
 • Tathmini Baada Ya Mafunzo
Requirements
 • Utayari wa kujifunza na kufanya Mazoezi yanayo tolewa na Mwezeshaji / Mwalimu.
 • Utayari wa kujaribu na kuthubutu mara baada ya Kumaliza mafunzo.
 • Si lazima mtu awe na elimu ya biashara au fedha.
+ View More
Description
+ View More
Other Related Courses
00:05:40 Hours
0 0 tshs5000 tshs3000
About The Instructor
 • 0 Reviews
 • 10 Students
 • 8 Courses
+ View More

Wilhelm Caspar Oddo is a serial Entrepreneur with a passion for education, Children, and Youth. In love with Environment, Health & Humanity. His big dream is to build an innovative and creative generation of young people who are solving community challenges.

Wilhelm has been recognized on local and international platforms as a champion of change supporting Sustainable Development Goals. Some of these platforms include the Top 100 Most Positively Inspiring African Youth (2018), One Young World Ambassador (2015), YALI East Africa Fellow (2016), Mandela Washington Fellow (2018), Tech Entrepreneurship trainer and mentor. 

It was in college (at Kampala International University) where he first discovered his passion for teaching and helping others by sharing all he knew. And that passion brought him the idea of starting Niwezeshe.Com, where most of his students love the fact that he takes the time to explain important concepts in a way that everyone can easily understand.

"Enroll in one of my courses and join the list of my awesome students today and start learning.

Student Feedback
0
Average Rating
 • 0%
 • 0%
 • 0%
 • 0%
 • 0%
Reviews
Free
Includes:
 • 01:00:20 Hours On Demand Videos
 • 30 Lessons
 • Full Lifetime Access
 • Access On Mobile And Tv