Google Blogger: Kutengeneza Blog au Tovuti

Somo la Google Blogger ni somo lenye kufundisha namna ya Kutengeneza Blog na Tovuti kwa kutumia Mfumo wa Blogger ambao ni mfumo unao milikiwa na Kampuni ya Google, na ni bure katika kuutumia.

Beginner 0(0 Ratings) 2 Students Enrolled
Created By Wilhelm Oddo Last Updated Mon, 23-Dec-2019 English
What Will I Learn?
 • Utakuwa na Uwezo wa kutengeneza Blog pamoja na tovuti
 • Utajifunza mpangilio wa Mandhari “THEME” na namna ya kuifanya iwe vile utakavyo
 • Utajifunza kila kilichomo katika mfumo mzima wa Blogger
 • Utajifunza namna ya kuifanya blog ikuingizie pesa
 • Utajifunza namna ya kupata watu wa kuitembelea blog yako
 • Utajifunza namna ya kuifanya blog yako ipatikane kwa uharaka pale mtu anapo tafuta taarifa katika Search Engine.
 • Utajifunza namna ya kuweka maudhui yenye kuvutia watembeleaji wa blog yako.

Curriculum For This Course
9 Lessons 00:21:12 Hours
Mwanzo Wa Somo
2 Lessons 00:02:39 Hours
 • Utangulizi wa Somo 00:02:39
 • Tathmini Kabla Ya Mafunzo
 • Vitu muhimu katika mfumo wa Blogger 00:02:39
 • Kuweka Andiko Katika Blogger 00:02:39
 • Mpangilio na Kubadili Muundo wa Blogger 00:02:39
 • Kuweka Ukurasa Mpya 00:02:39
 • Namna ya Kujua idadi ya walio tembelea Blog 00:02:39
 • Namna ya kupata mapato kupitia Blog 00:02:39
 • Tathmini Baada Ya Mafunzo 00:02:39
Requirements
 • Ujuzi wa Kawaida wa matumizi ya Computer
 • Ujuzu wa Kutumia internet
+ View More
Description

Baadhi yetu tumekuwa tukitamani kujifunza mambo mbali mbali katika ulimwengu huu wenye kuipa TEHAMA kipaumbele katika kila kitu, Tatizo ni gharama zilizopo katika kuweza pata mafunzo hayo ili uweze kuwa nguli.

Je! Ungependa kujifunza namna ya Kuwa blogger mashuhuri kama kina “Milard Ayo” na wengine? Ungependa kuwa na uwezo wa kujitengenezea au kuwatengenezea wengine iwe ni watu binafsi au biashara tovuti au blog pasipo gharama kubwa na ujuzi mkubwa wa TEHAMA? Kama jibu ni NDIO basi upo mahala sahihi na somo hili ni maalumu kwa ajiri yako.

Who this course is for:

 • Mafunzo haya ni maalumu kwa mtu yeyote mwenye kutaka kuwa Blogger au mwana habari katika mitandao
 • Mtu mwenye biashara ndogo na angepeta aiweke biashara yake katika mtandao pasipo kutumia gharama.
 • Mtu yeyote anaye taka kuwa mtengeneza blog na tovuti za watu au biashara nyingine pasipo kujifunza Coding.
+ View More
Other Related Courses
00:42:18 Hours
Updated Sat, 21-Dec-2019
0 3 tshs150000 tshs25000
00:42:24 Hours
0 0 tshs15000
00:13:15 Hours
0 0 tshs15000 tshs8000
00:42:24 Hours
0 0 tshs15000 tshs10000
About The Instructor
 • 0 Reviews
 • 4 Students
 • 8 Courses
+ View More

Wilhelm Caspar Oddo is a serial Entrepreneur with a passion for education, Children, and Youth. In love with Environment, Health & Humanity. His big dream is to build an innovative and creative generation of young people who are solving community challenges.

Wilhelm has been recognized on local and international platforms as a champion of change supporting Sustainable Development Goals. Some of these platforms include the Top 100 Most Positively Inspiring African Youth (2018), One Young World Ambassador (2015), YALI East Africa Fellow (2016), Mandela Washington Fellow (2018), Tech Entrepreneurship trainer and mentor. 

It was in college (at Kampala International University) where he first discovered his passion for teaching and helping others by sharing all he knew. And that passion brought him the idea of starting Niwezeshe.Com, where most of his students love the fact that he takes the time to explain important concepts in a way that everyone can easily understand.

"Enroll in one of my courses and join the list of my awesome students today and start learning.

Student Feedback
0
Average Rating
 • 0%
 • 0%
 • 0%
 • 0%
 • 0%
Reviews
tshs15000
Buy Now
Includes:
 • 00:21:12 Hours On Demand Videos
 • 9 Lessons
 • Full Lifetime Access
 • Access On Mobile And Tv